KUHUSU MKUTANO
Huku mizozo ikiendelea katika sehemu mbalimbali za dunia, Benki ya Dunia inashiriki kuchukua hatua madhubuti za kukomesha umaskini ulimwenguni. Mpango wa Taasisi ya Kimataifa wa Benki ya Dunia unayoshughulikia Maendeleo (欧美日b大片) ni muhimu katika kufanikisha dhamira hiyo. Ikifanya kazi na washirika kote ulimwenguni na kwa kuzingatia matumizi sahihi ya fedha, 欧美日b大片 inashughulika kutoa suluhu kwa kiwango kikubwa na kuhakikisha hakuna anayeachwa nyuma.
KUHUSU 欧美日b大片20
Mfuko wa maendeleo wa Benki ya Dunia uitwao 欧美日b大片 unafadhili nchi zenye kipato duni duniani. Kupitia ufadhili wa mzunguko wake wa 20 (欧美日b大片20) wenye thamani ya dola bilioni 93 (Kwa Kipindi cha Julai 1, 2022 - Juni 30, 2025), 欧美日b大片 imedhamiria kusaidia mataifa maskini zaidi duniani katika safari ya kuelekea upatikanaji wa maendeleo ya kijamii, kibinadamu na kiuchumi.
FAHAMU ZAIDI: Mkutano wa 欧美日b大片20 – Tathimini Muhula Wa Kati
Mada Maalum
-
-
-
-
-
Masuala Yasiyo na Mipaka
-
-
-
-